_id
stringlengths
15
22
url
stringlengths
31
150
title
stringlengths
1
86
text
stringlengths
100
23.8k
20231101.sw_175279_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
Bowie alizaliwa akiwa na jina la David Robert Jones tarehe 8 Januari 1947, mjini Brixton, London, Uingereza.
20231101.sw_175279_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
Bowie alianza kujihusisha na muziki akiwa kijana na kufanya kazi na bendi mbalimbali za rock and roll. Hata hivyo, mafanikio yake ya kwanza makubwa yalikuja katika miaka ya 1970 katika uzinduzi wa albamu yake ya "The Rise and Fall of Ziggy Stardust and the Spiders from Mars" mnamo 1972. Albamu hiyo ilikuwa moja wapo ya albamu bora kabisa katika historia ya muziki wa rock.
20231101.sw_175279_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
Bowie alijulikana kwa uwezo wake wa kubadilisha staili yake ya muziki na sura yake kwa wakati mmoja, akipitia awamu tofauti za muziki kama glam rock, muziki wa soul, funk, new wave, na elektroniki.
20231101.sw_175279_4
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
Alitumia majina badala kwa albamu zake, kama vile Ziggy Stardust, Aladdin Sane, na Thin White Duke, kuunda utambulisho wa kisanii unaobadilika kila wakati.
20231101.sw_175279_5
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
Bowie alishirikiana na wanamuziki wengi maarufu katika taaluma yake. Mojawapo ya ushirikiano wake maarufu ni na Queen kwenye wimbo "Under Pressure" wa mwaka 1981. Pia alifanya kazi na wasanii kama Nile Rodgers, Brian Eno, na Iggy Pop.
20231101.sw_175279_6
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
David Bowie alipata mafanikio makubwa katika kazi yake ya muziki na aliweza kuorodheshwa mara nyingi kwenye chati za muziki. Mojawapo ya nyimbo zake maarufu ni "Space Oddity," "Heroes," "Let's Dance," na "Modern Love." Alipata tuzo nyingi, ikiwa ni pamoja na Grammy Awards.
20231101.sw_175279_7
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
Kwa miaka, Bowie alijenga heshima na umaarufu mkubwa kwa ubunifu wake katika muziki na sanaa, na hadi kifo chake mnamo tarehe 10 Januari 2016, alikuwa mmoja wa wanamuziki wakubwa wanaovutia katika historia ya muziki wa pop na rock duniani.
20231101.sw_175279_8
https://sw.wikipedia.org/wiki/David%20Bowie
David Bowie
David Bowie alitoa albamu nyingi za kuvutia katika taaluma yake. Baadhi ya albamu zake maarufu ni pamoja na:
20231101.sw_175289_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Reto%20Knutti
Reto Knutti
Reto Knutti (alizaliwa 1973) ni mwanasayansi wa hali ya hewa kutoka Uswisi na profesa wa fizikia ya hali ya hewa katika Taasisi ya ETH Zurich ya Sayansi ya Anga na Hali ya Hewa.
20231101.sw_175289_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Reto%20Knutti
Reto Knutti
Anajulikana kwa utafiti wake unaohusisha mitindo ya hali ya hewa, na amekuwa mwanachama mkuu wa Jopo la Serikali Mbalimbali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi.
20231101.sw_175294_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Aqua ni kundi la muziki wa dance-pop kutoka nchini Denmark. Kundi lilianzishwaa mnamo mwaka wa 1989. Likachukua miaka kadhaa kabla ya kufanikiwa kibiashara na kutoa albamu yao ya kwanza.
20231101.sw_175294_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Lene Nystrøm - alisifika kwa sauti yake ya kike inayosikika kama kitoto huku akichangia vilivyo katika uimbaji wake.
20231101.sw_175294_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Claus Norreen - alikuwa mmoja wa wazalishaji wa muziki wa kundi hilo na alitoa michango ya sauti pamoja na kupiga vyombo vya upepo, tarumbeta.
20231101.sw_175294_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Søren Rasted - alikuwa mmoja wa wazalishaji wa muziki wa kundi hilo na alichangia katika ucharazazaji wa kinanda na sauti.
20231101.sw_175294_4
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Aqua ilipata umaarufu mkubwa ulimwenguni mwaka 1997. Hilo lilitokana na wimbo wao maarufu wa "Barbie Girl," ambao ulikuwa sehemu ya albamu yao ya kwanza, "Aquarium." Wimbo huo ulifanya vizuri katika chati za muziki duniani kote na ukawa moja ya nyimbo zilizosikilizwa sana mwaka huo. Hata hivyo, nyimbo zingine zilizo maarufu kutoka kwenye albamu ya "Aquarium" ni pamoja na "Doctor Jones" na "My Oh My."
20231101.sw_175294_5
https://sw.wikipedia.org/wiki/Aqua
Aqua
Baada ya mafanikio ya "Aquarium," Aqua iliendelea kutoa albamu nyingine, ikiwa ni pamoja na "Aquarius" mwaka 2000 na "Megalomania" mwaka 2011. Ingawa albamu zao zilipata mafanikio kadhaa, hakukuwa na mafanikio makubwa kama yale waliyopata na "Aquarium."
20231101.sw_175295_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Ios
Ios
iOS (zamani iPhone OS) ni mfumo wa uendeshaji wa simu iliyotengenezwa na Apple Inc. kwa ajili ya maunzi yake pekee. Ni mfumo wa uendeshaji unaowezesha vifaa vingi vya simu vya kampuni, ikiwa ni pamoja na iPhone; neno hili pia linajumuisha programu ya mfumo kwa ajili ya iPads (iliyotangulia iPadOS, ambayo ilianzishwa mwaka wa 2019) na pia kwenye vifaa vya iPod Touch (ambavyo vilikatizwa katikati ya 2022).. Ni mfumo wa pili duniani kwa usakinishaji wa simu za mkononi, baada ya Android. Ni msingi wa mifumo mingine mitatu ya uendeshaji iliyotengenezwa na Apple: iPadOS, tvOS, na watchOS. Ni programu inayomilikiwa, ingawa baadhi ya sehemu zake ni chanzo wazi chini ya Leseni ya Apple Public Source na leseni zingine.
20231101.sw_175322_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Betirani
Betirani
(pia: Bertechramnus, Bertichramnus, Berticrannus, Bertrannus, Berthram, Bertram, Bertran, Bertrand; Autun, leo nchini Ufaransa, 540 - Le Mans, 623 hivi) alikuwa askofu wa Le Mans kuanzia mwaka 586 hadi kifo chake, isipokuwa katikati, alipofungwa gerezani na alipofukuzwa na serikali.
20231101.sw_175323_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Erentruda
Erentruda
Erentruda (pia: Erentrude, Ehrentraud, Erendrudis, Erentruy, Erndrude, Arentruda, Ariotruda na Arndruda; mwishoni mwa karne ya 7; Salzburg, leo nchini Austria, 30 Juni 718) alikuwa mwanamke wa ukoo bora ambaye aliitwa na askofu Rupert wa Salzburg, ndugu wa mzazi wake, kuwa abesi wa kwanza wa monasteri wa Nonnberg, naye alimtegemeza kwa sala na kazi.
20231101.sw_175323_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Erentruda
Erentruda
Kulzer, Linda (1996). "Erentrude: Nonnberg, Eichstätt, America". In Medieval Women Monastics: Wisdom's Wellsprings. Miriam Schmitt, Linda Kulzer, eds. Collegeville, Minnesota: Liturgical Press, pp. 49–62. .
20231101.sw_175325_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Adolfo%20wa%20Osnabruck
Adolfo wa Osnabruck
Adolfo wa Osnabruck, O.Cist. (pia: Adolphus, Adolph, Adolf ; Tecklenburg, 1185 hivi - 30 Juni 1224) alikuwa askofu wa Osnabruck, Ujerumani kuanzia mwaka 1216 hadi kifo chake, baada ya kuwa padri, halafu mmonaki wa urekebisho wa Citeaux .
20231101.sw_175365_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Waseri
Waseri
Waseri ni kabila linalopatikana katika Mkoa wa Kilimanjaro, lugha yao rasmi ni kiseri. Waseri wanajishugulisha sana kwa kilimo, ufugaji, biashara na kazi za ofisini. Pia wanaweza kufanya kazi zingine za ufundi n.k. Waseri wanapatikana kwa wingi kaskazini mwa mkoa wa kilimanjaro hususani kuanzia maeneo ya Kirongo, Tarakea,Rongai na Holili.
20231101.sw_175474_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Umakanika
Umakanika
Umakanika (kutoka Kigiriki cha Kale: μηχανική, mēkhanikḗ, yaani "ya mashine") ni eneo la hisabati na la fizikia linalochunguza mahusiano kati ya kani, mata na mwendo katika vitu.
20231101.sw_175478_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Golveni
Golveni
Golveni (kwa Kifaransa: Golven, Golwen, Goulven; karne ya 6 - Saint-Didier, leo nchini Ufaransa, 616 hivi) alikuwa mkaapweke, halafu askofu wa Saint-Pol-de-Léon, katika mkoa wa Bretagne .
20231101.sw_175479_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Karilefi
Karilefi
Karilefi (pia: Calais, Kalès, Carileph, Carilefus, Calevisus; 500 hivi - 541 hivi) alikuwa mkaapweke karibu na Le Mans, leo nchini Ufaransa.
20231101.sw_175480_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Anatoli%20wa%20Konstantinopoli
Anatoli wa Konstantinopoli
Anatoli wa Konstantinopoli (Aleksandria, Misri, karne ya 4 - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 3 Julai 458) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 449 hadi kifo chake.
20231101.sw_175480_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Anatoli%20wa%20Konstantinopoli
Anatoli wa Konstantinopoli
Baada ya kukiri imani sahihi kadiri ya barua ya Papa Leo I kwa Flaviano katika Mtaguso wa Efeso (431), alifanya ithibitishwe na Mtaguso wa Kalsedonia (451).
20231101.sw_175480_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Anatoli%20wa%20Konstantinopoli
Anatoli wa Konstantinopoli
Christian Classics Ethereal Library: Dictionary of Christian Biography and Literature to the End of the Sixth Century A.D., with an Account of the Principal Sects and Heresies
20231101.sw_175488_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Arlington%20National%20Cemetery
Arlington National Cemetery
Makaburi ya Kitaifa ya Arlington ni mojawapo kati ya maeneo ya makaburi mawili katika Mfumo wa Makaburi ya Kitaifa ya Marekani ambayo yanahudumiwa na Jeshi la Marekani. Karibu watu 400,000 wamezikwa kwenye ekari 639 (259 ha) huko Arlington, Virginia.
20231101.sw_175488_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Arlington%20National%20Cemetery
Arlington National Cemetery
Makaburi ya Kitaifa ya Arlington yalianzishwa wakati wa Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe vya Marekani baada ya ardhi iliyokuwa kutaifishwa kutoka kwa umiliki wa kibinafsi wa familia ya jenerali wa Jeshi la Majimbo ya Wanachama Robert E. Lee baada ya mzozo wa kodi.
20231101.sw_175489_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Azam%20Sports%20HD1
Azam Sports HD1
Azam Sports HD1 ni kituo cha matangazo ya televisheni kirushacho habari za michezo mbalimbali ya ndani na hata nje ya Tanzania na kupatikana katika nchi za Afrika Mashariki na duniani kote kupitia [].
20231101.sw_175489_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Azam%20Sports%20HD1
Azam Sports HD1
Kituo hiki cha matangazo kinamilikiwa na kampuni ya matangazo Azam Media Group pamoja na vituo vingine mbalimbali.
20231101.sw_175498_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Raimundi%20Gayrard
Raimundi Gayrard
Raimundi Gayrard (Toulouse, leo nchini Ufaransa, karne ya 11 - Toulouse, 3 Julai 1118) alikuwa mwalimu Mkristo wa mji huo ambaye baada ya kufiwa mapema mke wake alijitosa katika matendo ya huruma, alianzisha hosteli kwa wahitaji 12, alishiriki ujenzi wa madaraja mawili na wa sehemu kadhaa za kanisa kubwa.
20231101.sw_175498_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Raimundi%20Gayrard
Raimundi Gayrard
Gérard Pradalié, « La fondation de l’hôpital Saint-Raimond de Toulouse : une remise en question », Annales du Midi,‎ 2007, p. 227-236
20231101.sw_175498_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Raimundi%20Gayrard
Raimundi Gayrard
Pierre Gérard, « Un précurseur de l'aide sociale Raimon Gairart fondateur de l'hospice Saint-Raymond de Toulouse », Mémoires de l'académie des Sciences Inscriptions et Belles-Lettres de Toulouse, vol. 151, no X,‎ 1989, p. 253-262
20231101.sw_175498_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Raimundi%20Gayrard
Raimundi Gayrard
Célestin Douais, « La vie de saint Raimond, chanoine, et la construction de l'église saint-Sernin, 1080-1118 », Bulletin de la Société archéologique du Midi de la France,‎ 1893-1894, p. 150-163
20231101.sw_175519_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Antoni%20Daniel
Antoni Daniel
Antoni Daniel, S.J. (Dieppe, Ufaransa 25 Mei 1601 – karibu na Teanaostaye, Kanada, 4 Julai 1648) alikuwa padri wa Wajesuiti mmisionari kwa Wahuroni wa Amerika Kaskazini tangu mwaka 1632.
20231101.sw_175519_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Antoni%20Daniel
Antoni Daniel
Aliuawa kwa mishale na Wairoki, kabila lingine la Waindio, akisimama mlangoni mwa kanisa alipomaliza kuadhimisha Misa na akiwa na lengo la kulinda waumini wapya. Hatimaye alichomwa moto.
20231101.sw_175519_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Antoni%20Daniel
Antoni Daniel
Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 21 Juni 1925, na kuwa mtakatifu tarehe 29 Juni 1930.
20231101.sw_175519_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Antoni%20Daniel
Antoni Daniel
Sikukuu ya kundi lake la wafiadini huadhimishwa tarehe 19 Oktoba, lakini ya kwake mwenyewe huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.
20231101.sw_175519_4
https://sw.wikipedia.org/wiki/Antoni%20Daniel
Antoni Daniel
Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. .
20231101.sw_175521_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Florensi%20wa%20Cahors
Florensi wa Cahors
Paulino wa Nola alimsifu kama mtu mnyenyekevu wa moyo, mwenye nguvu ya neema na upole katika kusema .
20231101.sw_175523_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Valentino%20wa%20Griselles
Valentino wa Griselles
Valentino wa Griselles (Pothières au Mont Lassois, 519 - Griselles, 547) alikuwa mkaapweke katika Ufaransa wa leo, halafu padri pia, baada ya kulelewa ikulu na kukataa ndoa.
20231101.sw_175523_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Valentino%20wa%20Griselles
Valentino wa Griselles
Christian Sapin et Noëlle Deflou-Leca, Saint-Valentin de Griselles : du culte érémitique à la fondation monastique, t. XXXIX, Mémoires de la Commission des Antiquités du département de la Côte d’Or, 2000-2001
20231101.sw_175525_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Berta%20wa%20Blangy
Berta wa Blangy
Berta wa Blangy (pia: wa Artois; Artois, leo nchini Ufaransa, katikati ya karne ya 7; Blangy-sur-Ternoise, 4 Julai, 725) alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, baada ya kuolewa na kuzaa watoto watano, alipobaki mjane alijiunga na monasteri aliyokuwa ameianzisha pamoja na mabinti wake Deotila na Getrude. Baada ya kuiongoza miaka kadhaa kama abesi, alijifungia chumbani hadi kifo chake kilichomfikia akiwa na umri wa miaka 85.
20231101.sw_175525_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Berta%20wa%20Blangy
Berta wa Blangy
Herbert J. Thurston and Donald Attwater, eds. "Butler's Lives of the Saints," vol. 3. Allen, TX: Christian Classics, 1956, pp 14–15.
20231101.sw_175525_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Berta%20wa%20Blangy
Berta wa Blangy
Ferdinand Holböck, "Married Saints and Blesseds: Through the Centuries," San Francisco: Ignatius Press, 2002, 400 pp,
20231101.sw_175525_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Berta%20wa%20Blangy
Berta wa Blangy
"Lives of The Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, 511 pp
20231101.sw_175527_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Joao%20Grimaldo
Joao Grimaldo
Grimaldo alizaliwa katika wilaya ya Rímac, Lima, mji mkuu wa Peru. Tangu utotoni alikuwa na mwelekeo wa mazoezi ya mpira wa miguu ya kushambulia na alijaribiwa katika mgawanyiko mdogo wa Rímac Athletic Club. Colegio San Andrés ilikuwa jina la timu ya darasa la 2002, iliyoundwa kushindana kwa Toque y Gol Cup, timu ilishinda mashindano hayo. Wakati huo huo, alifundishwa katika Chuo cha Cantolao akishindana katika Kombe la Urafiki la 2015 na alibaki katika kikosi hadi alipofikisha umri wa miaka 12, Wakati Huo Esther Grande de bentín aliweza kumsaini.
20231101.sw_175527_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Joao%20Grimaldo
Joao Grimaldo
Baada ya kuwa muhimu katika mechi kadhaa za mashindano tofauti, alikuwa katika vituko vya mameneja wa Sporting Cristal ambao walinunua kadi yake mnamo 2016. Katika mgawanyiko mdogo, alishinda Mashindano ya 2018 U-15 Centennial Na Kombe la Kizazi cha U-18 katika msimu wake wa mwisho na akiba.
20231101.sw_175528_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mrungi
Mrungi
Mrungi, murungu au mlonge (lakini ni afadhali kutumia jina hilo la mwisho kwa Moringa oleifera) ni kichaka au mti mdogo wa familia Celastraceae.
20231101.sw_175528_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mrungi
Mrungi
Mrungi hukua kama kichaka au mti mdogo wa urefu wa mita 1-5 na wakati mwingine huweza kufika urefu wa mita 10 penye tabianchi ya ikweta.
20231101.sw_175528_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mrungi
Mrungi
Majani yake ni ya rangi ya kijani, yenye urefu wa sentimeta 5-10 (inchi 2-4) na upana wa sentimeta 1-4 (inchi 0.39-1.6).
20231101.sw_175539_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Willa%20Fitzgerald
Willa Fitzgerald
Willa Fitzgerald (alizaliwa Januari 17, 1991 ) na ni mwigizaji wa Kimarekani. Anajulikana kwa jukumu lake la kuigiza kama Emma Duval katika kipindi cha kuigiza cha Scream ya MTV , na ameigiza pia kwenye vipindi vingine vingi kama vile Mtandao wa USA Dare Me,Amazon Prime Video Reacher , kipindi cha Amazon Studios Alpha House ambapo alicheza kati ya mwaka wa 2013 na 2014 , Mtandao wa Marekani wa Royal Pains, na tamthilia za kutisha za Netflix The Fall of the House of Usher .
20231101.sw_175539_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Willa%20Fitzgerald
Willa Fitzgerald
Kati ya mwaka wa 2013 na 2014, Fitzgerald alicheza nafasi ya Lola Laffer katika mfululizo wa televisheni wa mtandao wa kisiasa wa Amazon Studios Alpha House . Mfululizo huo ulidumu kwa misimu miwili kabla ya kughairiwa. Mnamo Aprili 23, 2014, iliripotiwa kuwa Fitzgerald alipata jukumu la mara kwa mara katika safu ya tamthilia ya Mtandao wa USA ya Royal Pains kama Emma Miller. Kati ya 2014 na 2015, pia alipata majukumu ya kuigiza kama muigizaji mkuu msaidizi katika vipindi mbalimbali vya televisheni kama vile Blue Bloods, The Following na Gotham .
20231101.sw_175539_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Willa%20Fitzgerald
Willa Fitzgerald
Sifa za Fitzgerald katika ukumbi wa michezo ni pamoja na kazi kama vile Couple in the Kitchen, Sekta ya Kibinafsi, Cow Play na The Cat na Canary . Mnamo Agosti 2016, alijiunga na waigizaji wa filamu ya Misfortune, iliyoongozwa na Lucky McKee na iliyotolewa Oktoba 2017 chini ya jina Blood Money .
20231101.sw_175539_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Willa%20Fitzgerald
Willa Fitzgerald
Mnamo Januari 2016, aliigizwa katika safu ya mtandao ya go90 iliyokuwa inahusu hali ya Uhusiano . Alionyesha jukumu la Beth katika safu ya vipindi viwili.
20231101.sw_175544_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mfumo%20wa%20vyama%20vingi
Mfumo wa vyama vingi
Mfumo wa vyama vingi katika siasa unashirikisha vyama mbalimbali katika kugombea uongozi wa nchi, tofauti na mfumo wa chama kimoja na ule wa vyama viwili tu .
20231101.sw_175544_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mfumo%20wa%20vyama%20vingi
Mfumo wa vyama vingi
Mara nyingi inatokea kwamba hakuna chama kinachopata kura za kutosha kuendesha serikali peke yake, hivi ni lazima kuiunda kwa ushirikiano wa vyama viwili au zaidi.
20231101.sw_175559_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20wa%20Oisterwijk
Yohane wa Oisterwijk
(1504 - 1572) alikuwa padri wa shirika la wakanoni Waaugustino aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175559_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20wa%20Oisterwijk
Yohane wa Oisterwijk
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175565_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20Heer
Yohane Heer
, O.P. (1500 - 1572) alikuwa padri wa shirika la Wadominiko kutoka Ujerumani aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175565_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yohane%20Heer
Yohane Heer
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175566_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Adriani%20wa%20Hilvarenbeek
Adriani wa Hilvarenbeek
, O. Prem. (1528 - 1572) alikuwa padri wa shirika la wakanoni Wapremontree aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175566_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Adriani%20wa%20Hilvarenbeek
Adriani wa Hilvarenbeek
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175567_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yakobo%20Lacops
Yakobo Lacops
, O. Prem. (1541 - 1572) alikuwa padri wa shirika la wakanoni Wapremontree aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175567_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yakobo%20Lacops
Yakobo Lacops
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175568_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Leonardi%20Veghel
Leonardi Veghel
(1527 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175568_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Leonardi%20Veghel
Leonardi Veghel
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175569_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Nikola%20Poppel
Nikola Poppel
(1532 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175569_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Nikola%20Poppel
Nikola Poppel
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175570_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Godefrid%20Duynen
Godefrid Duynen
(1502 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175570_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Godefrid%20Duynen
Godefrid Duynen
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175571_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Andrea%20Wouters
Andrea Wouters
(1542 - 1572) alikuwa padri mwanajimbo aliyefia imani ya Kikatoliki huko Uholanzi pamoja na wenzake 18 maarufu kama Wafiadini wa Gorkum.
20231101.sw_175571_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Andrea%20Wouters
Andrea Wouters
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa na Papa Klement X kuwa mwenye heri tarehe 24 Novemba 1675, halafu mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 29 Juni 1867.
20231101.sw_175573_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Marta%20wa%20Antiokia
Marta wa Antiokia
Marta wa Antiokia (Antiokia, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 6 - Antiokia, 551) alikuwa mama wa Simeoni wa Mnarani Kijana, mkaapweke aliyepata umaarufu kwa kuishi miaka 68 juu ya minara mbalimbali akianzia utotoni.
20231101.sw_175573_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Marta%20wa%20Antiokia
Marta wa Antiokia
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu sawa na mwanae.
20231101.sw_175574_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Tomaso%20wa%20Terreti
Tomaso wa Terreti
Tomaso wa Terreti (Reggio Calabria, mwanzoni mwa karne ya 10 - Terreti, 5 Julai 1000) tangu ujanani alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki huko Terreti, Calabria, Italia Kusini, akawa abati wa monasteri yake .
20231101.sw_175575_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Athanasi%20wa%20Mlima%20Athos
Athanasi wa Mlima Athos
(Trabzon, leo nchini Uturuki, 920 hivi - Mlima Athos, Ugiriki, 1003 hivi) alikuwa Mkristo mpole na mnyenyekevu, baada ya kuwa mwalimu, akawa mmonaki ambaye alianzisha monasteri maarufu katika rasi ya Mlima Athos, ambayo ikawa muhimu kuliko zote za Kanisa la Kiorthodoksi hata leo .
20231101.sw_175575_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Athanasi%20wa%20Mlima%20Athos
Athanasi wa Mlima Athos
Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. .
20231101.sw_175577_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Siriaka%20wa%20Nikomedia
Siriaka wa Nikomedia
Siriaka wa Nikomedia (kwa Kigiriki: Κυριακή, yaani Dominika; Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, karne ya 3 - Kalsedonia, leo nchini Uturuki, 289 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyefia dini yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano .
20231101.sw_175577_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Siriaka%20wa%20Nikomedia
Siriaka wa Nikomedia
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
20231101.sw_175579_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Paladi%20wa%20Uskoti
Paladi wa Uskoti
Paladi wa Uskoti (kwa Kilatini: Palladius; Gallia, 408 - 457 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa kisiwa cha Ireland lakini baada ya kukataliwa huko alihamia Uskoti hadi kifo chake .
20231101.sw_175579_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Paladi%20wa%20Uskoti
Paladi wa Uskoti
Alipokuwa shemasi, ndipo Papa Selestini I alipompatia uaskofu na kumtuma katika Funguvisiwa la Britania kupinga Upelaji.
20231101.sw_175581_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Moninne
Moninne
Moninne au Modwenna (Donaghmore, County Down, 435 hivi - Killeavy, 517 hivi) ni mmojawapo kati ya watakatifu wa kwanza wa Ireland.
20231101.sw_175581_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Moninne
Moninne
Anatajwa kama mmonaki, abesi, na mwanzilishi wa monasteri iliyoshika maisha ya upwekeni kwa mfano wa Nabii Eliya na Yohane Mbatizaji .
20231101.sw_175582_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir (amejulikana zaidi kwa jina la Ustadh Mau; 20 Februari 1952 – ) ni mshairi na imamu kutoka kisiwa cha Lamu, Kenya. Mashairi na hotuba zake zinahusu jamii, umuhimu wa elimu, huruma na wajibu wa kijamii.
20231101.sw_175582_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Ustadh Mau kamwe hakuhudhuria shule ya serikali; elimu yake yote ya Kiswahili na ya Kiarabu alipata kwa walimu wa Kiislamu katika madrasa na vyuo vya Kiislamu vya eneo hilo.
20231101.sw_175582_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Tangu mwaka 1985, amekuwa imamu wa Msikiti wa Pwani, msikiti wa zamani zaidi Lamu. Alikuwa imamu wa kwanza Lamu kutoa hotuba zake za Ijumaa kwa lugha ya Kiswahili. Ustadh Mau alisimamia bakershop ya familia hadi mwaka 2005.
20231101.sw_175582_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Ustadh Mau ni mpenda vitabu. Maktaba yake binafsi inaandaa mashairi ya Kiislamu ya Kiswahili katika ajami, na vijitabu na kumbukumbu kutoka Mashariki ya Kati na India. Karibu tungo na hotuba elfu mbili kutoka kwenye maktaba yake binafsi kwa sasa vinapigwa picha na kuhifadhiwa kwa msaada wa ruzuku ya MEAP (kwa hati zilizoandikwa na rekodi za sauti zilizonakiliwa tazama Ustadh Mau Digital Archive).
20231101.sw_175582_4
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
In this fragile world : Swahili poetry of commitment by Ustadh Mahmoud Mau / Poetry by Ustadh Mau (Mahmoud Ahmed Abdulkadir). Translated and edited by Annachiara Raia and Clarissa Vierke, in collaboration with Jasmin Mahazi and Azra Ahmad Abdulkadir. Leiden ; Boston : Brill, [2023] (''Online version)
20231101.sw_175582_5
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir (mau): Mshairi mcheza kwao lakini asiyetuzwa / Rayya Timammy. In: Lugha na fasihi katika karne ya Ishirini na Moja. Kwa heshima ya marehemu Profesa Naomi Luchera Shitemi, edited by Mosol Kandagor, Nathan Ogechi, and Clarissa Vierke, Eldoret: Moi University Press, 2017, pages 231–242.
20231101.sw_175582_6
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mahmoud%20Ahmed%20Abdulkadir
Mahmoud Ahmed Abdulkadir
Shaykh Mahmoud Abdulkadir "Mau" : a reformist preacher in Lamu / Rayya Timammy. In: Annual Review of Islam in Africa, 2014, vol. 12., no. 2, pages 85-90.
20231101.sw_175595_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yusto%20wa%20Condat
Yusto wa Condat
Ingawa habari za maisha yake ni chache mno, tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X tarehe 9 Desemba 1903.
20231101.sw_175595_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yusto%20wa%20Condat
Yusto wa Condat
Il martirologio romano. Riformato a norma dei decreti del Concilio ecumenico Vaticano II e promulgato da papa Giovanni Paolo II, LEV, Città del Vaticano 2004.
20231101.sw_175595_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Yusto%20wa%20Condat
Yusto wa Condat
Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
20231101.sw_175596_0
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mael%20Ruain
Mael Ruain
Mael Ruain (pia: Maelruain, Maolruain, Maelruan, Molruan na Melruain.; alifariki nchini Ireland, 792) alikuwa askofu na abati wa monasteri aliyoianzisha huko Tallaght.
20231101.sw_175596_1
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mael%20Ruain
Mael Ruain
Martyrology of Tallaght, ed. Richard Irvine Best and Hugh Jackson Lawlor, The Martyrology of Tallaght. From the Book of Leinster and MS. 5100–4 in the Royal Library. Brussels, 1931.
20231101.sw_175596_2
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mael%20Ruain
Mael Ruain
The Monastery of Tallaght, ed. E.J. Gwynn and W.J. Purton, "The Monastery of Tallaght." Proceedings of the Royal Irish Academy 29C (1911–12): 115–80. Edition and translation available online from Thesaurus Linguae Hibernicae; PDF available from the Internet Archive.
20231101.sw_175596_3
https://sw.wikipedia.org/wiki/Mael%20Ruain
Mael Ruain
The Teaching of Ruain Burrows, ed. E.J. Gwynn, The Teaching of Mael‐ruain. Hermathena 44, 2nd Supplement. Dublin, 1927. pp. 1–63.