Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet
id
stringlengths
11
11
verse_id
stringlengths
7
9
audio
audioduration (s)
1.56
26.8
verse_text
stringlengths
15
366
transcript
stringlengths
13
356
1CH_001_001
1CH 1:1
Adamu, Sethi, Enoshi,
adamu sethi enoshi
1CH_001_002
1CH 1:2
Kenani, Mahalaleli, Yaredi,
kenani mahalaleli yaredi
1CH_001_003
1CH 1:3
Enoki, Methusela, Lameki, Noa.
enoki methusela lameki noa
1CH_001_004
1CH 1:4
Wana wa Noa walikuwa: Shemu, Hamu na Yafethi.
wana wa noa walikuwa shemu hamu na yafethi
1CH_001_005
1CH 1:5
Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.
wana wa yafethi walikuwa gomeri magogu madai yavani tubali mesheki na tirasi
1CH_001_006
1CH 1:6
Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.
wana wa gomeri walikuwa ashkenazi rifathi na togarma
1CH_001_007
1CH 1:7
Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
wana wa yavani walikuwa elisha tarshishi kitimu na rodanimu
1CH_001_008
1CH 1:8
Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu, Putu na Kanaani.
wana wa hamu walikuwa kushi misraimu putu na kanaani
1CH_001_009
1CH 1:9
Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.
wana wa kushi walikuwa seba havila sabta raama na sabteka wana wa raama walikuwa sheba na dedani
1CH_001_011
1CH 1:11
Misraimu akawazaa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
misraimu akawazaa waludi waanami walehabi wanaftuhi
1CH_001_012
1CH 1:12
Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori.
wapathrusi wakasluhi hao ndio asili ya wafilisti na wakaftori
1CH_001_013
1CH 1:13
Wana wa Kanaani walikuwa: Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,
wana wa kanaani walikuwa sidoni mzaliwa wake wa kwanza na hethi
1CH_001_014
1CH 1:14
Wayebusi, Waamori, Wagirgashi,
wayebusi waamori wagirgashi
1CH_001_015
1CH 1:15
Wahivi, Waariki, Wasini,
wahivi waariki wasini
1CH_001_016
1CH 1:16
Waarvadi, Wasemari na Wahamathi.
waarvadi wasemari na wahamathi
1CH_001_017
1CH 1:17
Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. Wana wa Aramu walikuwa: Usi, Huli, Getheri na Mesheki.
wana wa shemu walikuwa elamu ashuru arfaksadi ludi na aramu wana wa aramu walikuwa usi huli getheri na mesheki
1CH_001_018
1CH 1:18
Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.
arfaksadi akamzaa shela shela akamzaa eberi
1CH_001_020
1CH 1:20
Wana wa Yoktani walikuwa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,
wana wa yoktani walikuwa almodadi shelefu hasarmawethi yera
1CH_001_021
1CH 1:21
Hadoramu, Uzali, Dikla,
hadoramu uzali dikla
1CH_001_022
1CH 1:22
Obali, Abimaeli, Sheba,
obali abimaeli sheba
1CH_001_023
1CH 1:23
Ofiri, Havila na Yobabu. Wote hawa walikuwa wana wa Yoktani.
ofiri havila na yobabu wote hawa walikuwa wana wa yoktani
1CH_001_024
1CH 1:24
Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela,
wana wa shemu walikuwa arfaksadi shela
1CH_001_025
1CH 1:25
Eberi, Pelegi, Reu,
eberi pelegi reu
1CH_001_026
1CH 1:26
Serugi, Nahori, Tera,
serugi nahori tera
1CH_001_027
1CH 1:27
Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu).
tera akamzaa abramu yaani abrahamu
1CH_001_028
1CH 1:28
Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli.
abrahamu alikuwa na wana wawili isaki na ishmaeli
1CH_001_029
1CH 1:29
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
hawa ndio waliokuwa wazao wa hagari nebayothi mzaliwa wa kwanza wa ishmaeli kedari adbeeli mibsamu
1CH_001_030
1CH 1:30
Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,
mishma duma masa hadadi tema
1CH_001_031
1CH 1:31
Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.
yeturi nafishi na kedema hao ndio wana wa ishmaeli
1CH_001_032
1CH 1:32
Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.
wana waliozaliwa na ketura suria wa abrahamu walikuwa zimrani yokshani medani midiani ishbaki na shua wana wa yokshani walikuwa sheba na dedani
1CH_001_033
1CH 1:33
Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.
wana wa midiani walikuwa efa eferi hanoki abida na eldaa wote hao walikuwa wa uzao wa ketura
1CH_001_035
1CH 1:35
Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.
wana wa esau walikuwa elifazi reueli yeushi yalamu na kora
1CH_001_036
1CH 1:36
Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
wana wa elifazi walikuwa temani omari sefo gatamu na kenazi elifazi kwa timna akamzaa amaleki
1CH_001_037
1CH 1:37
Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza.
wana wa reueli walikuwa nahathi zera shama na miza
1CH_001_038
1CH 1:38
Wana wa Seiri walikuwa: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani.
wana wa seiri walikuwa lotani shobali sibeoni ana dishoni eseri na dishani
1CH_001_039
1CH 1:39
Wana wa Lotani walikuwa wawili: Hori na Homamu. Lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa Timna.
wana wa lotani walikuwa wawili hori na homamu lotani alikuwa na dada yake aliyeitwa timna
1CH_001_040
1CH 1:40
Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana.
wana wa shobali walikuwa alvani manahathi ebali shefo na onamu wana wa sibeoni walikuwa aiya na ana
1CH_001_041
1CH 1:41
Mwana wa Ana alikuwa: Dishoni. Nao wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
mwana wa ana alikuwa dishoni nao wana wa dishoni walikuwa hemdani eshbani ithrani na kerani
1CH_001_042
1CH 1:42
Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.
wana wa eseri walikuwa bilhani zaavani na akani wana wa dishani walikuwa usi na arani
1CH_001_043
1CH 1:43
Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba.
hawa ndio wafalme waliotawala edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa waisraeli bela mwana wa beori ambaye mji wake ni dinhaba
1CH_001_051
1CH 1:51
Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,
naye hadadi pia akafa wakuu wa edomu walikuwa timna alva yethethi
1CH_001_052
1CH 1:52
Oholibama, Ela, Pinoni,
oholibama ela pinoni
1CH_001_053
1CH 1:53
Kenazi, Temani, Mibsari,
kenazi temani mibsari
1CH_001_054
1CH 1:54
Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.
magdieli na iramu hao ndio wakuu wa makabila ya edomu
1CH_002_001
1CH 2:1
Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,
hawa ndio waliokuwa wana wa israeli reubeni simeoni lawi yuda isakari zabuloni
1CH_002_002
1CH 2:2
Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri.
dani yosefu benyamini naftali gadi na asheri
1CH_002_004
1CH 2:4
Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano.
tamari mkwewe yuda alimzalia wana wawili peresi na zera yuda alikuwa na jumla ya wana watano
1CH_002_006
1CH 2:6
Wana wa Zera walikuwa: Zimri, Ethani, Hemani, Kalkoli na Dara. Jumla ya wana wa Zera walikuwa watano.
wana wa zera walikuwa zimri ethani hemani kalkoli na dara jumla ya wana wa zera walikuwa watano
1CH_002_008
1CH 2:8
Mwana wa Ethani alikuwa: Azariya.
mwana wa ethani alikuwa azariya
1CH_002_009
1CH 2:9
Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu.
wana wa hesroni walikuwa yerameeli ramu na kalebu
1CH_002_010
1CH 2:10
Ramu alimzaa Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
ramu alimzaa aminadabu na aminadabu akamzaa nashoni kiongozi wa kabila la yuda
1CH_002_011
1CH 2:11
Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,
nashoni akamzaa salmoni salmoni akamzaa boazi
1CH_002_012
1CH 2:12
Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese.
boazi akamzaa obedi obedi akamzaa yese
1CH_002_013
1CH 2:13
Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
yese akawazaa eliabu mwanawe wa kwanza wa pili abinadabu wa tatu shimea
1CH_002_014
1CH 2:14
wa nne Nethaneli, wa tano Radai,
wa nne nethaneli wa tano radai
1CH_002_015
1CH 2:15
wa sita Osemu, na wa saba Daudi.
wa sita osemu na wa saba daudi
1CH_002_016
1CH 2:16
Dada zao walikuwa Seruya na Abigaili. Wana wa Seruya walikuwa watatu: Abishai, Yoabu na Asaheli.
dada zao walikuwa seruya na abigaili wana wa seruya walikuwa watatu abishai yoabu na asaheli
1CH_002_017
1CH 2:17
Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
abigaili alikuwa mama yake amasa ambaye baba yake alikuwa yetheri mwishmaeli
1CH_002_018
1CH 2:18
Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.
kalebu mwana wa hesroni akazaa wana na mkewe azuba na pia na yeriothi hawa ndio wana azuba aliomzalia kalebu yesheri shobabu na ardoni
1CH_002_019
1CH 2:19
Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
azuba alipofariki kalebu akamwoa efrathi ambaye alimzalia huri
1CH_002_020
1CH 2:20
Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli.
huri akamzaa uri uri akamzaa bezaleli
1CH_002_021
1CH 2:21
Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.
hatimaye hesroni akakutana kimwili na binti wa makiri babaye gileadi ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini naye akamzaa segubu
1CH_002_022
1CH 2:22
Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.
segubu akamzaa yairi ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika gileadi
1CH_002_023
1CH 2:23
(Lakini Geshuri na Aramu wakateka miji ya Hawoth-Yairi, pamoja na Kenathi na viunga vyake; jumla ilikuwa miji sitini.) Wote hawa walikuwa wazao wa Makiri babaye Gileadi.
lakini geshuri na aramu wakateka miji ya hawothyairi pamoja na kenathi na viunga vyake jumla ilikuwa miji sitini wote hawa walikuwa wazao wa makiri babaye gileadi
1CH_002_024
1CH 2:24
Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.
baada ya hesroni kufa huko efrathi abiya mjane wa hesroni akamzalia ashuru aliye baba wa tekoa
1CH_002_025
1CH 2:25
Wana wa Yerameeli mzaliwa wa kwanza wa Hesroni walikuwa: Ramu mzaliwa wake wa kwanza, Buna, Oreni, Osemu na Ahiya.
wana wa yerameeli mzaliwa wa kwanza wa hesroni walikuwa ramu mzaliwa wake wa kwanza buna oreni osemu na ahiya
1CH_002_026
1CH 2:26
Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu.
yerameeli alikuwa na mke mwingine aliyeitwa atara aliyekuwa mama yake onamu
1CH_002_027
1CH 2:27
Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: Maasi, Yamini na Ekeri.
wana wa ramu mzaliwa wa kwanza wa yerameeli walikuwa maasi yamini na ekeri
1CH_002_028
1CH 2:28
Wana wa Onamu walikuwa: Shamai na Yada. Wana wa Shamai walikuwa: Nadabu na Abishuri.
wana wa onamu walikuwa shamai na yada wana wa shamai walikuwa nadabu na abishuri
1CH_002_029
1CH 2:29
Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi.
mke wa abishuri aliitwa abihaili ambaye alimzalia abani na molidi
1CH_002_030
1CH 2:30
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto.
wana wa nadabu walikuwa seledi na apaimu lakini seledi alikufa bila kuzaa watoto
1CH_002_031
1CH 2:31
Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.
apaimu akamzaa ishi ambaye alikuwa baba wa sheshani sheshani akamzaa alai
1CH_002_032
1CH 2:32
Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto.
wana wa yada nduguye shamai walikuwa yetheri na yonathani yetheri alikufa bila kuzaa watoto
1CH_002_033
1CH 2:33
Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli.
wana wa yonathani walikuwa pelethi na zaza hawa ndio waliokuwa wazao wa yerameeli
1CH_002_034
1CH 2:34
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.
sheshani hakuwa na watoto wa kiume ila wasichana tu alikuwa na mtumishi mmisri aliyeitwa yarha
1CH_002_035
1CH 2:35
Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai.
sheshani akamwoza huyu mtumishi wake yarha binti yake akamzalia mwana jina lake atai
1CH_002_036
1CH 2:36
Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,
atai akamzaa nathani nathani akamzaa zabadi
1CH_002_037
1CH 2:37
Zabadi akamzaa Eflali, Eflali akamzaa Obedi,
zabadi akamzaa eflali eflali akamzaa obedi
1CH_002_038
1CH 2:38
Obedi akamzaa Yehu, Yehu akamzaa Azaria,
obedi akamzaa yehu yehu akamzaa azaria
1CH_002_039
1CH 2:39
Azaria akamzaa Helesi, Helesi akamzaa Eleasa,
azaria akamzaa helesi helesi akamzaa eleasa
1CH_002_040
1CH 2:40
Eleasa akamzaa Sismai, Sismai akamzaa Shalumu,
eleasa akamzaa sismai sismai akamzaa shalumu
1CH_002_041
1CH 2:41
Shalumu akamzaa Yekamia, naye Yekamia akamzaa Elishama.
shalumu akamzaa yekamia naye yekamia akamzaa elishama
1CH_002_042
1CH 2:42
Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.
wana wa kalebu nduguye yerameeli walikuwa mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa zifu naye mwanawe maresha akamzaa hebroni
1CH_002_043
1CH 2:43
Hebroni alikuwa na wana wanne: Kora, Tapua, Rekemu na Shema.
hebroni alikuwa na wana wanne kora tapua rekemu na shema
1CH_002_044
1CH 2:44
Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.
shema alikuwa baba yake rahamu na rahamu alikuwa baba wa yorkeamu na rekemu alikuwa baba wa shamai
1CH_002_045
1CH 2:45
Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri.
shamai akamzaa maoni na maoni akamzaa bethsuri
1CH_002_046
1CH 2:46
Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.
efa suria wa kalebu alikuwa mamaye harani mosa na gazezi harani alikuwa baba wa gazezi
1CH_002_047
1CH 2:47
Wana wa Yadai walikuwa: Regemu, Yothamu, Geshani, Peleti, Efa na Shaafu.
wana wa yadai walikuwa regemu yothamu geshani peleti efa na shaafu
1CH_002_048
1CH 2:48
Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.
maaka suria wa kalebu alikuwa mamaye sheberi na tirhana
1CH_002_049
1CH 2:49
Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa.
pia maaka akamzaa shaafu babaye madmana na sheva babaye makbena na gibea kalebu alikuwa na binti jina lake aksa
1CH_002_050
1CH 2:50
Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,
hawa ndio waliokuwa wazao wa kalebu wana wa huri mzaliwa mkuu wao wa efrathi walikuwa shobali akamzaa kiriathyearimu
1CH_002_051
1CH 2:51
Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi.
salma akamzaa bethlehemu naye harefu akamzaa bethgaderi
1CH_002_052
1CH 2:52
Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi,
wazao wa shobali baba yake kiriathyearimu walikuwa haroe nusu ya wakazi wa mji wa menuhothi
1CH_002_053
1CH 2:53
pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.
pamoja na koo za kiriathyearimu ambazo ni waithiri waputhi washumathi na wamishrai kutokana na watu hawa walizaliwa wasorathi na waeshtaoli
1CH_002_054
1CH 2:54
Wazao wa Salma walikuwa: Bethlehemu, Wanetofathi, Atroth-Beth-Yoabu, nusu ya Wamanahathi, Wasori,
wazao wa salma walikuwa bethlehemu wanetofathi atrothbethyoabu nusu ya wamanahathi wasori
1CH_003_001
1CH 3:1
Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni: Mzaliwa wa kwanza alikuwa Amnoni ambaye mama yake aliitwa Ahinoamu wa Yezreeli; wa pili, Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili wa Karmeli;
hawa ndio waliokuwa wana wa daudi waliozaliwa huko hebroni mzaliwa wa kwanza alikuwa amnoni ambaye mama yake aliitwa ahinoamu wa yezreeli wa pili danieli ambaye mama yake alikuwa abigaili wa karmeli
1CH_003_002
1CH 3:2
wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri; wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi;
wa tatu alikuwa absalomu ambaye mama yake alikuwa maaka binti talmai mfalme wa geshuri wa nne adoniya ambaye mama yake alikuwa hagithi
1CH_003_003
1CH 3:3
wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali; wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla.
wa tano alikuwa shefatia ambaye mama yake alikuwa abitali wa sita alikuwa ithreamu aliyezaliwa na mke wake egla
1CH_003_004
1CH 3:4
Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita. Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu,
hawa sita walizaliwa huko hebroni ambako daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita daudi alitawala yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu
1CH_003_005
1CH 3:5
nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu: mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua, Shobabu, Nathani na Solomoni.
nao hawa ndio watoto wa daudi waliozaliwa huko yerusalemu mkewe bathsheba binti amieli alimzalia shamua shobabu nathani na solomoni
End of preview. Expand in Data Studio
README.md exists but content is empty.
Downloads last month
1,354