sample_id
stringlengths
11
11
source_text
stringlengths
11
173
source_language
stringclasses
7 values
target_language
stringclasses
7 values
domain
stringclasses
1 value
google_comparable
bool
2 classes
salt_020901
Nililipia faini na binamu wangu akaachiliwa
swa
teo
general
false
salt_020902
migomo na shutuma kutoka kwa upinzani kuwa kisiasa zinapaswa kukomeshwa huko Makerere
swa
teo
general
false
salt_020903
Je, jina la mwalimu unayetaka kuona ni nani?
swa
teo
general
false
salt_020904
Baadhi ya mipango imesaidia kukuza maendeleo katika maeneo ya vijijini
swa
teo
general
false
salt_020905
babangu alikuwa wa idara ya sayansi kwa shule yangu ya awali
swa
teo
general
false
salt_020906
magonjwa gani yanaweza ambukizwa wanyama pamoja na wanadamu
swa
teo
general
false
salt_020907
Kamera za televisheni zilizofungiwa ziliwekwa katika eneo la Polisi la Metropolitan la Kampala.
swa
teo
general
false
salt_020908
Nilikutana naye ofisini.
swa
teo
general
false
salt_020909
Magari huwekwa katika vikundi anuwai ikiwa ni pamoja na moja kwa Tuzo Kuu.
swa
teo
general
false
salt_020910
Vijana wa kiislamu waliwakilishwa kwenye mkutano.
swa
teo
general
false
salt_020911
Entebbe ni mojawapo ya miji safi sana nchini.
swa
teo
general
false
salt_020912
Waliooana wanapaswa kutatua kutoelewana kwao
swa
teo
general
false
salt_020913
Ni washirika wa vikundi ambavyo vimemefadhiliwa vizuri na wanahabari walio kinyume na serikali.
swa
teo
general
false
salt_020914
Simba ni mmoja wa waindaji wakuu kwenye msitu.
swa
teo
general
false
salt_020915
Mamlaka ya barabara ya Uganda itachukua nafasi ya kujenga barabara kwa wilaya.
swa
teo
general
false
salt_020916
Alisema suluhisho la makundi mawili ya kwanza ni ukosoaji.
swa
teo
general
false
salt_020917
Serikali inalazimika kulipa fidia watu ambao wameathiriwa na miradi yake.
swa
teo
general
false
salt_020918
Sherehe za siku ya uhuru zilifutwa.
swa
teo
general
false
salt_020919
Kutakuwa na programu za udhamini kwa wale ambao watafaulu.
swa
teo
general
false
salt_020920
Yeye ni mmoja wa wanaojifunza katika kampuni yetu.
swa
teo
general
false
salt_020921
Majani ya mahindi yameliwa na viwavi
swa
teo
general
false
salt_020922
Yeye Alimnunulia mama yake bangili ya fedha.
swa
teo
general
false
salt_020923
uamzi wa hakimu haukumfurahisha
swa
teo
general
false
salt_020924
Kiwango cha vifo vya uzazi kinaongezeka
swa
teo
general
false
salt_020925
Yeye ni waziri wetu wa burudani shuleni.
swa
teo
general
false
salt_020926
Viongozi wa dini wanapaswa kuwa watiifu na wenye nidhamu.
swa
teo
general
false
salt_020927
Mwandishi alisoma matukio ya ufisadi katika serikali za mtaa.
swa
teo
general
false
salt_020928
Watu hawajui watakacho
swa
teo
general
false
salt_020929
Idara hii inashughulikia malalamiko dhidi ya maafisa wa polisi.
swa
teo
general
false
salt_020930
Mimi ninaikumbuka njia ya kuelekea nyumbani kwako.
swa
teo
general
false
salt_020931
familia yetu haikuwa na pa kuenda baada ya nyumba yetu kuharibiwa na mafuriko
swa
teo
general
false
salt_020932
Tunasubiri kwa uvumilivu ufungaji wa taa za barabarani.
swa
teo
general
false
salt_020933
Alijibu barua yake jana.
swa
teo
general
false
salt_020934
wengi wa walimu wa shule ya msingi hawaridhiki na mishahara yao
swa
teo
general
false
salt_020935
mwanamke alimtambulisha mwanaume wake kwa wazazi wake
swa
teo
general
false
salt_020936
Je! unajua nywila ya simu yake?
swa
teo
general
false
salt_020937
Mwandishi wa habari alitoa ripoti kamili ya hadithi hiyo.
swa
teo
general
false
salt_020938
Ninafuatilia viwango vyangu vya hisa wakati wote.
swa
teo
general
false
salt_020939
Sekta ya kilimo inapaswa kuimarishwa
swa
teo
general
false
salt_020940
Alikosa tarehe ya mwisho ya mgawo wake.
swa
teo
general
false
salt_020941
Rushwa ni nini?
swa
teo
general
false
salt_020942
Familia nzima ilishutuka pale dada yangu alipata mimba akiwa na miaka kumi na sita.
swa
teo
general
false
salt_020943
Alisema alimaanisha maneno yake.
swa
teo
general
false
salt_020944
Uganda inafaa kutumia suluhisho za kiufundi katika sekta ya elimu.
swa
teo
general
false
salt_020945
Kwa mwonekano wa uso wake, ana msongo wa mawazo.
swa
teo
general
false
salt_020946
hajala chakula kwa siku mbili
swa
teo
general
false
salt_020947
Idadi ya watu wanaojiunga na kikundi inaongezeka kila siku.
swa
teo
general
false
salt_020948
Waendesha boda boda hupuuza sheria za trafiki.
swa
teo
general
false
salt_020949
anao marafiki wengi tajiri
swa
teo
general
false
salt_020950
Wazazi wake waliunda akaunti ya akiba ya chuo kikuu baada ya kuzaliwa kwake.
swa
teo
general
false
salt_020951
Wamekataa kuhusika na shughuli zozote za bunge.
swa
teo
general
false
salt_020952
Ni muhimu kuhifadhi na kuhifadhi asili na wanyamapori.
swa
teo
general
false
salt_020953
Wawili hao wameoana kwa miaka kumi sasa.
swa
teo
general
false
salt_020954
falme zote mbili bado zipo
swa
teo
general
false
salt_020955
Mwambie baba yako ukweli.
swa
teo
general
false
salt_020956
Ni jinsi gani mawasiliano ya ufanisi yanaweza kuanzishwa?
swa
teo
general
false
salt_020957
Yeye Aliwahi kuwa mvulana mwerevu katika shule yake ya msingi.
swa
teo
general
false
salt_020958
Wanabishara walio na bidhaa sawa wanafanya hufanya kazi katika soko moja.
swa
teo
general
false
salt_020959
alama za mpira wa vikapu hupeanwa aje?
swa
teo
general
false
salt_020960
Walimu wa historia si rahisi wakose kuhuthuria vipindi vya somo.
swa
teo
general
false
salt_020961
Wilaya imeanzisha timu ya kufuatilia wafanyikazi wa umma.
swa
teo
general
false
salt_020962
Shule zinapaswa kuwapa wanafunzi chakula
swa
teo
general
false
salt_020963
malalamishi kuhusu huduma za ambulensi inapaswa kupelekwa mbele kwa viongozi wa wilaya
swa
teo
general
false
salt_020964
Nina hadi kesho kukabidhi kazi.
swa
teo
general
false
salt_020965
Mfumo huo mpya unaweza kugharimu mamilioni ya shilingi.
swa
teo
general
false
salt_020966
Sherehe hiyo inakusanya watu kutoka nchi zote tatu.
swa
teo
general
false
salt_020967
Wanapaswa kuwaruhusu watoto kueleza mawazo na maono yao
swa
teo
general
false
salt_020968
Mashirika mengi hayana pesa.
swa
teo
general
false
salt_020969
Anampiga mke wake kila usiku.
swa
teo
general
false
salt_020970
Sasa hivi tunafanya mchango ili kujenga bweni la wavulana.
swa
teo
general
false
salt_020971
Mkataba huo ulisainiwa kuunda tena jamii ya Afrika Mashariki.
swa
teo
general
false
salt_020972
Anapenda kula mchele kwa kuku.
swa
teo
general
false
salt_020973
Msichana aliyenajisiwa alitoweka eneo hilo.
swa
teo
general
false
salt_020974
Waiisilamu hawali nguruwe kwa sababu ni dhambi kwenye dini yao.
swa
teo
general
false
salt_020975
Viongozi wa harakati za upinzani wa kitaifa huko Kampala walikuwa wanatoa maswala yao.
swa
teo
general
false
salt_020976
Je, viongozi wa mitaa wanatimiza jukuma gani katika jamii?
swa
teo
general
false
salt_020977
Kumbuka kukata kucha fupi.
swa
teo
general
false
salt_020978
Watu wenye asili kama hiyo hufanya kazi vizuri pamoja.
swa
teo
general
false
salt_020979
Halmashauri za Mitaa na jamii lazima zichukue nafasi ya kwanza katika kazi ya polisi.
swa
teo
general
false
salt_020980
Mhalifu anashtakiwa kisheria na polisi.
swa
teo
general
false
salt_020981
Kutakuwa na teknolojia nyingi za hali ya juu katika jiji.
swa
teo
general
false
salt_020982
Ili kuwawezesha wakimbizi, fursa za mafunzo zinapaswa kupatikana.
swa
teo
general
false
salt_020983
Wahalifu wengi hawana madhara sana.
swa
teo
general
false
salt_020984
Wahandisi wanapaswa kuunda shirika la kitaalamu la kuunganisha.
swa
teo
general
false
salt_020985
shamba langu lina n'gombe za nyama na maziwa
swa
teo
general
false
salt_020986
Virusi vya korona Vinaenea kwa kasi.
swa
teo
general
false
salt_020987
Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya mauaji dhidi yangu.
swa
teo
general
false
salt_020988
Alikuwa akihema huku akipanda mlima.
swa
teo
general
false
salt_020989
Tangu wakati huo tumesalia marafiki wa karibu kibinafsi na pia kifamilia.
swa
teo
general
false
salt_020990
alikuwa akiendesha baisikeli ili hali Mimi nakimbia
swa
teo
general
false
salt_020991
Ufugaji wa samaki ni biashara yenye faida.
swa
teo
general
false
salt_020992
alipoteza kuona akiwa mdogo
swa
teo
general
false
salt_020993
Janga lingetushinda lakini tuliweza kulidhibiti
swa
teo
general
false
salt_020994
Watoto wa chekechea wanafunzwa kusoma na kutambua sauti za alfabeti.
swa
teo
general
false
salt_020995
wakimbizi walishukuru Mungu kwa kuwatuma wafadhili kuwasaidia
swa
teo
general
false
salt_020996
Klabu ya soka ya mamlaka ya mji mkuu wa Kampala ilipata ushindi wao wa kwanza ugenini msimu huu.
swa
teo
general
false
salt_020997
Serikali na vyombo vya kibinafsi hufanya programu ambazo hazizingatii watu wanaokaa msitu.
swa
teo
general
false
salt_020998
Binti wa nani huyo?
swa
teo
general
false
salt_020999
Amepeleka ng'ombe kwa malisho.
swa
teo
general
false
salt_021000
Waziri wa michezo amefungua rasmi mashindano ya michezo shuleni.
swa
teo
general
false