text
stringlengths 11
15.2k
|
---|
Alisema, pamoja na hatua hiyo, bado menejmeneti ya kiwanda hicho inadai ekari 3,000 ambazo zilichukuliwa na wananchi. |
Kuanzishwa magereza kulilenga kufundisha wale walioonekana kwenda kinyume na sheria ili wawe bora,siyo kuwatesa kama inavyolalamikiwa. |
Alisema majanga yanayowakuta wananchi kwa kuvamia maeneo ya wanyama ni ya kujitakia na alitaka wananchi kuona umuhimu wa shoroba hizi na kuziheshimu kwa sababu ni za miaka mingi iliyopita. |
Nakusudia kufuta jina la **PETER JONAS MCHOMVU** kwenye kumbukumbu za umiliki wa kipande hicho cha ardhi na kuandika jina la **ANNA GODFREY MJEMA** baada ya kubaini kuwa kiwanja hicho
ulimilikishwa kimakosa. |
Anaiomba serikali kuhakikisha zoezi la oparesheni sangara linakuwa endelevu ili kuokoa uharibifu wa mazingira na kuongeza uzalishaji wa ziwa wenye tija kwa taifa kwa kizazi kilichopo na vijavyo. |
Shein ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alisema, CCM imebeba dhima kubwa ya kuwatumikia wananchi, akibai isha kazi hiyo kuanza kufanyika vizuri, huku akiwaonya baadhi ya viongozi wilaya hiyo kwa kutofanya vizuri. |
Pia serikali, kuandaa utaratibu wa kutangaza bei za sangara katika masoko ya nje, huku samaki wenye urefu wa sentimita 50-53 wauzwe soko la ndani. |
Anawashauri wanaotumia zana haramu waache kwani rais malengo yake ni kuona rasilimali ziwani zinaendelea kuwepo huku akiwaomba watendaji na wananchi washirikiane pamoja kuteketeza uvuvi haramu kwa manufaa ya taifa na vizazi vijavyo. |
Kikosi cha Yanga tayari kimeshatua jijini Mwanza jana asubuhi kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya wenyeji Mbao FC, utakaochezwa kwenye
uwanja wa CCm Kirumba. |
Seba akakamatwa pamoja na mwenzie aliyempa kibiriti. |
Chezea mshahara, usichezee kazi. |
Pamoja na maofisa wa afya, wataalamu wa elimu wilayani Kahama wanakiri kwamba tatizo la ukosefu wa vyoo bora linapingana na malengo yaliyobainishwa katika Sera ya Elimu ya mwaka 2014 nchini Tanzania ambayo lengo lake ni kuleta mapinduzi ya kiuchumi ili kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025. |
Aliwataka wajasiriamali waliowezeshwa fedha hizo, wazitumie fursa hiyo katika kukuza mitaji yao na kama watakopa warejeshe ili waweze kukopa tena. |
Ofisa Mfawidhi wa Ulinzi wa Rasilimali za Uvuvi, Kamanda wa Oparesheni Kanda ya Ziwa Didas Mtambalike anasema, Ziwa Victoria ni chanzo cha sekta ya uvuvi ambayo inategemewa na watu wasiopungua milioni 15 kwa upande wa ajira. |
Hivi karibuni kumezuka mjadala mkali kuhusu Ufaransa kuendelea kuweka majeshi yake na sarafu yake ya CFA kuendelea kutumika barani Afrika. |
**K**UMEKUWEPO na changamoto ya benki kupata watu sahihi wa kufanya nao biashara kwa maana ya kuwakopesha ili kuziingiza katika mzunguko fedha wanazopelekewa kuzihifadhi. |
Uchunguzi uliofichua ufisadi na utakatishaji fedha wa zaidi ya Sh bilioni 3. |
Keita akauawa
Mwaka 1963 Wafaransa walipanga njama za kuuawa kwa rais wa Togo, Sylvanus Olympio. |
Wakati Aussems akiweka bayana nia ya kuibuka na ushindi dhidi ya Azam FC, Juma Mwambusi, ambaye anamsaidia Pluijm kuwanoa 'Wana Lambalamba,' amekiri kusikitishwa na matokeo yao katika mechi nne zilizopita wakiwa mikoani, lakini akasema watapambana kuwachapa Simba. |
Mkuu huyo alisem, kupungua kwa matukio hayo ya ujangilia ndani ya hifadhi hiyo kumetokana na jitihada zinazofanywa ikiwemo kuwachukuliwa hatua kali kwa majangili wanaobainika kufanya vitendo hivyo. |
9 kwa ajili ya kumalizia maboma yapatayo 2,392 nchini kote ili kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu kuingia kidato cha kwanza mwaka huu wanaanza masomo mara moja kabla ya kumalizika Machi, 2019. |
Pia wawekezaji wanaweza kununua vipande kwa kutumia huduma za M-Pesa na TigoPesa. |
Inawezakana hata wewe leo hii umejiwekea lengo la kupata mlo wako wa mchana ukishushia *Coca cola* baridi. |
Katika hili, tuliamua kwamba koo mbili ziende huko kwa mganga wake anayempa tuhuma hizo kwenda
kumsikiliza huyo mganga, hapa akagoma. |
Katika ushahidi uliotolewa jana, kuliibuka utata kutokana na majina kutofautiana kwani inadaiwa kuwa, Machi, 15, 2016, Aveva na Kaburu walihamisha fedha kutoka kwenye akaunti ya Simba kwenda katika akaunti binafsi ya Evans Aveva ya Barclay's Bank yenye akaunti namba 147002211, sababu ya kuhamisha fedha ilikuwa ni malipo ya mkopo (loan repayment) toka kwa Simba kiasi cha dola 300,000 zaidi
ya milioni 60. |
WTO ina nchi wanachama 153. |
"Nilipofika akaulizwa hili tairi la nini? |
Ilani inatolewa kwamba nyumba iliyopo kwenye kipande cha ardhi kilichotajwa hapo juuilitolewa leseni kwan dugu **PETER JONAS MCHOMVU** na
kusajiliwa tarehe 15. |
Lulida ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Lindi, alisema atashirikisha wabunge wenzake hasa wenye ulemavu ili waweze kusaidia timu hiyo ya taifa. |
Hiero alishakuwa kocha msaidizi chini ya Carletto na baadaye wa muda wa Hispania kwenye kombe la dunia. |
Wazo:
Njia mojawapo ya kufika mbali katika maisha, unahitaji kuwa na wazo kila kitu huwanza katika mfumo wa mawazo ya ndani ya akili ya mwanadamu, fikiri juu ya wazo ulilo nalo fanya uchanganuzi ulio sahihi katika fikra zako na heshimu wazo ulilonalo. |
Inawezekana walivunjwa moyo na sera ya ujamaa lakini hata hivyo ujamaa ulivunjika na sasa wamerejea kuwa wabia muhimu wa maendeleo ya nchi yetu. |
NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu raia wa China, Yang Glan maarufu kama Malkia wa meno ya tembo na wenzake wawili kutumikia kifungo cha miaka 17 gerezani kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya sh. |
Alisema kuwa kuna baadhi ya wanasiasa wamelifanya jambo hilo kama mtaji wa kisiasa na kuwa utaratibu uliowekwa ni mzuri na kuwa dhana halisi ya vitambulisho. |
Wiki moja tu baada ya kushika madaraka Mei 2017, aliwatembelea wanajeshi wake 1,600 walioko Mali. |
Kwa sasa tuache kazi ifanywe. |
nnWANANCHI wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora wameshauriwa kuacha tabia ya kuendelea kuvamia hovyo baadhi ya maeneo ambayo bado hayajapimwa na idara ya ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo kujenga nyumba za makazi. |
MWIGIZAJI Steve Nyerere amerudi tena kwenye headlines leo February 19,2019 hii ni baada ya kutumia ukurasa wake wa instagrma kupost picha ya mwigizaji mwenzake Irene Uwoya na kuandika ujumbe ambao umewaacha wengi dilemma. |
Wadaiwa wengine ni wa Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kambi ya Profesa Lipumba waliopendekezwa na kuidhinishwa na Rita, ambao ni Peter Malebo, Hajira Silia, Azizi Dangesh, Amina Mshamu, Abdul Magomba, Asha Suleimani, Salha Mohamed, Suleiman Issa na Musa Kombo. |
"Kama wangekuwa wanaondoka leo ungesema itaathiri harakati zetu za kupambana kuondoka mkiani, lakini uzuri wachezaji hawa wataondoka ligi ikiwa imeshaisha hivyo bado wapo na watahakikisha timu haishuki daraja" alisema Kangenzi. |
Kikatiba mwenyekiti wa benki ni mtu wa Marekani. |
Katika kutekeleza majukumu hayo Jeshi la Magereza linawajibika kufuata na kuheshimu sheria zote za nchi pamoja na sheria mbalimbali za kimataifa zinazohusu haki za binadamu. |
Mwandishi wa habari za ki uchunguzi wa Marekani, Walter Lippmann ndiye mwasisi wa neno 'Vita baridi' yaani vita isiyotumia silaha bali ni maneno na vitisho. |
3,100,700 na kubaki Sh. |
Naomba Utaratibu huo uhimizwe na uendelezwe kwa watu wote wa makundi yote katika sekta na ngazi zote nchini bila Kujali Cheo , Dini ,Wadhifa, Elimu , Kanda, Kabila , Jinsia , au Chama chochote cha Siasa . |
Ndipo Hamad bin Thuwaini akawa sultani wa Zanzibar Mwaka 1893. |
Baada ya sultan Khalid ku kimbia, ndipo Uingereza ikampitisha mtu wao Hamud bin Muhammed, kuwa sultani wa Zanzibar kwa miaka 6 iliyofua ta. |
Aminata alikumbuka dhamira yake kila mara na kutabasamu. |
Kero yetu huku Kilosa ni Katibu Tarafa ya Magole, anataka kuuza mashamba yetu, ameungana na Magereza kuhamisha mpaka wao na kusogeza kwenye mashamba yetu. |
Kujituma kwake dakika zote wakati mwingine humweka kwenye hatari ya kuoneshwa kadi, lakini hilo si jambo la ajabu kwa mashabiki wa United tangu enzi za Roy Keane. |
Inakadiriwa takribani 75% ya watu duniani wanatumia mitishamba kwa ajili ya kujitibu. |
Hii inakusaidia kuwa mwekezaji kwa sababu ari ya Uwekezaji ni lazima iwepo ndani yako na ikusukume kufanya hivyo. |
Alitolea mfano wa fedha za sekta ya Afya ambapo zaidi ya bilioni mbili zimepelekwa na dawa hakuna. |
DIMBA: Mashabiki wengi wa soka wanapenda kukuita Boxer, unakumbuka jina hilo lilitokea wapi? |
Szafnauer alisema SportPesa ni kampuni inayokuwa na wamefarijika kuingia katika ushirikiano huo ambao unafungua ukurasa mpya katika shughuli zao za kila siku kimataifa. |
Ziangalie vizuri lawama zako. |
Leo ninataka kuzungumza kile ninachokiona kikitokea katika taifa langu. |
Je, ni kweli kwamba kukikosoa chama tawala ni dhambi? |
Kwa upande wake Katibu wa TAFF, Moses Mabula, alisema mashindano hayo yanayotarajiwa kuanzia Juni 22 yatashirikisha nchi 11 za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. |
Maofisa Elimu wilayani Kahama wanakiri kuwa tatizo la ukosefu wa matundu ya vyoo ni sugu, na pia linaathiri maendeleo ya elimu wilayani humo. |
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Chama cha Watendaji wa Mafuta ya Kula Tanzania (Teosa) mwaka 2012, mafuta ya mawese yanazalishwa kwa wingi zaidi katika Mkoa wa Kigoma ambako michikichi ilianza kulimwa muaka ya 1920. |
Tulikuwa na matarajio makubwa kupitia Shehzade wetu... |
"Mhe John Magufuli akasema hapana nitaunda tume ambayo haitapokea rushwa timu ya Lukuvi mnaiona ina sura ya kupokea rushwa? |
"Kuna ambao tumewabaini wakihujumu timu yetu hivyo tuna kamati husika Yanga itawachukulia hatua, maana sisi Yanga tunahangaika wanachama kuichangia timu yao, lakini tunaumizwa kuona wengine wananufaika," alisema na kuongeza kuwa watu waache kuitumia Yanga vibaya kwa masilahi yao. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Ussoke Mlimani Godfrey Muyango, alitoa pongezi hiyo kwa niaba ya wanakijiji wentoria kwao ambayo haitafutika katika mioyo yao. |
Baada ya kueleza hayo, Hakimu Simba aliutaka upande wa mshtaka uhakikishe unaleta mashahidi ili kesi hiyo iweze kuendelea. |
Baada ya kujiandikisha na kulipa ada ya ushiriki, waandaaji walisema Machi 1 itakuwa siku maalumu kwa ajili ya wakimbiaji kuhakikisha wamepata namba za ushiriki kwa wale ambao walikuwa washajisajili na kulipia mbio za kilomita 42, 21 na 5, kabla ya kuanza kwa mbio Machi 3 katika Uwanja wa Chuo Cha Ushirika mjini Moshi. |
Kuongoza timu unayoipenda maana yake hutakuwa tayari kuona inapita nyakati za maumivu. |
Njau alisema, ni mwanzo tu kwani bajeti yao yote waliyoitoa kwenda kwa mkoa wa Arusha wameielekeza kwenye jamii imelenga kutoa huduma nje ya vituo. |
Mfano huu unakwenda mbali zaidi na kugusia suala nililolisema wiki iliyopita la muda wa kufanya biashara. |
Mipango hiyo anayofanya inachunguzwa na watu asiowafahamu ambao wamepandikizwa na Rustem, anaona kila anavyofanya taarifa zinafika kwa baba yake kama anavyopanga. |
Kwa tahadhari, Ushawishi wa wafanyabiashara kwa asili hauyumkiniki, waweza kuwa mbaya na mzuri kwa serikali, hivyo serikali kuwawekea mipaka ni jambo la kukaribishwa kwa mikono miwili. |
ABUJA, NIGERIA
RAIS wa Nigeria, M u h a m m a d u Buhari amesema amewaagiza polisi na jeshi "kutomuonea huruma" mtu yeyote anayejaribu kuvuruga uchaguzi wa rais nchini ambao umeahirishwa hadi Jumamosi. |
Ni kazi ya kudhibiti na kuingilia kati maswala ya kiuchumi na kisiasa. |
Ngoja nikwambie rafiki yangu. |
KUFUNGWA kuna maumivu yake, unaweza usiamini, lakini mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza mashabiki wa timu ya Dodoma FC walikaa vikundi vikundi na kujikuta wakitoka uwanjani saa mbili usiku. |
Mholanzi huyo alisisitiza kwamba atarekebisha makosa ya kikosi chake yaliyojitokeza katika michezo ya nyuma ili waweze kuikabili Simba wakiwa fi ti. |
*
*Mja mdharau chake, ni juha mithili jambwa*
*Apigae chake teke, ati akhofu kuchambwa*
*Idhara inyuma yake, ja Babu jinga "Matimbwa"*
*Sitaki kusumbwasumbwa, kiswahili ndicho changu. |
**LONDON, England**
**UNAPOTAJA silaha zinazompa jeuri Ole Gunar Solskjaer pale Old Trafford, bila shaka Paul Pogba, atakuwa kwenye orodha yako. |
Hata hivyo, Kanyasu aliwaeleza Wadau hao kuwa hatua iliyochukuliwa haiondoi maamuzi yanayowataka kuwa na mashine za kisasa za kupunguza hasara ya upotevu mkubwa wa mbao. |
Bahati mbaya, kwa mfano, mkuu wa mkoa anaweza kumweka mtu rumande kwa sababu ya chuki binafsi au kwa hoja mufilisi, na anaweza kujenga mazingira ya kuwatisha viongozi wote wa vyombo vya ulinzi na usalama katika mkoa wake kwa kuwaambia "haya ni maagizo kutoka juu. |
Alisema jengo hilo litajengwa na waumini wa kanisa hilo na watu wengine wenye mapenzi mema ambapo awamu ya kwanza itahusu ujenzi wa msingi na nguzo za pembeni huku awamu ya pili ikiwa ni kuweka la jiwe la msingi na ufyatuaji tofali. |
Je, unafahamu hadithi hii iliyomo kwenye kitabu cha hadithi cha 'Jabali la Kifo' ndoto ya tatu aliota nini? |
4 katika bodi hiyo uliagizwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, mwaka jana baada ya 'kunusa' harufu ya ufisadi katika bodi hiyo. |
Wengine katika picha (kutoka kushoto) ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalum, Namelok Sokoine, Elysia Sokoine na Ninai Sokoine. |
Wanafungua kesi mahakamani. |
Hata hivyo, ndugu wa marehemu Pascal Charles alipinga akidai kifo hicho kimetokana na kipigo kutoka kwa askari kipindi walichokuwa wamemweka chini ya ulinzi kuanzia Machi 19. |
Kwa mujibu wa waandishi hao, Tanzania na Vietnam katika miaka 1950 zilikuwa sawa katika hali ya uchumi na maendeleo, lakini mambo yalibadilika kuanzia miaka 1980 ambapo Tanzania imekuwa hohehahe. |
Ikiwa ni pamoja na ile ya ushindi wa mabao 2-1 wakiwa ugenini dhidi ya Ajax katika mikimiki ya Ligi ya Mabingwa, mashabiki wa Madrid hawajashuhudia timu yao ikifungwa katika mechi zote saba zilizopita. |
Waharifu waliuliwa gerezani kwa kupewa chakula bila chumvi, iliwasababishia kifo cha taratibu. |
na tano, je Profesa Lipumba alijiuzulu au hakujiuzulu? |
Na iwapo habari kamili ya yaliyojiri katika mkataba baina ya TRC na RITES utaanikwa hadharani, zitaonyesha ilikuwa kashfa inayoweza kuzishinda kashfa zote zilizowahi kutokea na kuiathiri nchi hii masikini kiuchumi katika miaka ya karibunui. |
Baraza hilo limesema bodi za utawala hazinabudi "kuacha kuandaa na kutekeleza sera na utendaji ambao unalazimisha , kushurutisha au kuwasukuma wanariadha wanawake na wasichana kupitia , udhalilishaji na mathara ya upasuaji wenye madhara wa kimatibabu usio wa lazima kama njia ya kuruhusiwa
kushiriki katika matukio mashindano ya michezo ya wanawake". |
Kocha huyo mwenye umri wa mika 46, raia wa Norway mpaka sasa ameweka rekodi bora kabisa ya kushinda jumla ya michezo 14 kati ya 19 aliyosimamia klabu hiyo tangu kuchukua nafasi ya Mourinho. |
"Wafanyabiashara hawalalamiki wanaolalamika ni hao wachuuzi tu ndiyo wanaoweka mgomo ambao hauna msingi wowote na hata kipindi cha nyuma hakuwa na wanalipa kodi ya sh. |
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Inter
KOCHA wa klabu ya Everton, Marco Silva, ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha wanamsajili moja kwa moja nyota wa Chelsea, Kurt Zouma. |
Mapokeo hayo ya utamaduni, yanatajwa kuwa miongoni mwa changamoto katika mapambano dhidi ya magonjwa mengi ikiwamo TB. |
Wakili wa utetezi, Alex Mgongolwa, aliomba suala la kuwaita mashahidi lifanyiwe kazi haraka. |
Katika kujenga dhana hii ya umoja wa kitaifa ndio maana Mwalimu Nyerere hata katika Baraza lake la Mawaziri aliwapa nafasi watanzania wenye asili ya mataifa mengine kama akina Amiri Jamal aliyekuwa Waziri wa Fedha, Alnoor Kassim aliyekuwa Waziri wa Madini, Mama Shamim Khan aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, akina Sterling nk. |
Ndege zote za Boeing 737 Max zimewekewa marufuku ya kusafiri. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.