text
stringlengths
1
464
Ana maneno madogo madogo
Mtoto wa kike ni wakusaidia
Mtoto huyo ana hasira za kijinga
Shamba lao limejaa pilipili
Walipokonywa shamba na baba yao
Amenunua shamba kushushe
Wamegawiwa shamba la kwao
Ameuza shamba la mamake
Ameenda shambani kulinda tumbili
Amewapeleka mbuzi shambani
Huwa anaeka pilipili kwenye chakula
Mpike chakula mpaka cha jioni
Naumwa na tumbo
Amezaliwa na kichwa kikubwa
Ameanguka akapasuka kichwa
Amemlenga na jiwe kichwani
Amezaliwa na kichwa kama cha ndugu yake
Ametupa kichwa cha mbuzi
Kichwa cha kondoo kina mafuta
Amenunua kichwa cha kutengenza supu
Mwanamke aliye jifungua huwa anakunywa supu ya kichwa
Aliambiwa achinje mbuzi peke yake
Nilijaza maji kwenye mitungi yote
Tulienda pamoja mpaka kwao
Damu yake ni nyeusi
Alipika damu ya mbuzi
Alijaza sufuria kubwa viazi
Maji huwa wanachota huko chini
Waambie waje wote tukutane
Amepewa sumu akafariki
Ndizi zimeiva sana
Ndizi ziko shamba lote
Wana shamba la ndizi
Huwa wanapendezwa na kula ndizi
Waliambiwa wapande miwa wauze
Huwa anapendezwa na mboga kali
Alidungwa na miba
Shamba lao limejaa mawe makubwa
Alichimba mashimo akazika pesa zake
Walizika mbegu za maharagwe bila kupanda
Pasaka ndo hiyo imefika
Watu wamepika maharagwe
Nisaidie kuchota maji
Nasafiri karibuni
Alikula majani ya mihogo akafa
Tukae na upendo wa kila mtu
Mbebe kila kitu chenu na msirudi
Ulisema matanga yalipatikana
Alioa mtoto mdogo
Ni mkubwa na bado hajaolewa
Nipee champali zako nitakurudishia
Ananidai pesa zake za mahindi
Mahindi yamekuwa makubwa
Huwa ananiuzia mahindi
Mahindi yote yameliwa na kuku
Amempa mahindi yote yako shambani
Amemuibia mahindi yote
Sai yote yamekauka
Alipewa mahindi kama mahari
Kwa kina Msafari huwa wanauza mahindi
Uniletee mahindi choma
Huwa anakula mahindi choma kila siku
Mahindi yameliwa na tumbili
Alinyimwa chakula matangani
Nimemtumia pesa za kulipa shule
Alikuwa akimpiga mke wake kitambo
Kitambo kulikuwa na fisi na sungura
Fisi amepigwa akila ng'ombe
Natuma watoto waje uwape maji
Nakungoja tule chakula cha moto
Mtoto amejufunika blanketi
Walienda kwao kuona mzee
Anamaliza shule leo
Ananichelewesha na nataka kwenda nyumbani
Akiwa na pesa huwa ni mkali
Amejificha uvunguni ndo asichapwe na mamake
Huwa analala na pesa zake kitandani
Baba amenitemea mate mkononi
Amesema hataki kumuona popote
Nimemaliza kazi yangu
Huwa anajikuna akila kondoo
Ana wasichana watatu